Chunguza Vitabu vyetu vya kushangaza

Vitabu ambavyo vinajenga ubunifu na maadili.

Ununuzi wa Msururu wa Ami

Chunguza Vitabu vyetu vya kushangaza

Vitabu ambavyo vinaibua ubunifu na maadili

Ununuzi wa Msururu wa Ami

Msururu wa Ami

Ndoto ya Ami ni kuifanya dunia kuwa mahali pazuri. Kama mpenda mazingira asili na pia mwenye kupenda safari za ajabu, ana wasiwasi juu ya mazingira na anatafuta njia ya kuyafanya yawe salama. Kwa bahati mbaya, amegundua kuwa marafiki zake na vitu mbali mbali vya asili, viko katika hatari kwa sababu ya tabia ya wanadamu. Kama rafiki anayejali, yuko tayari kufanya bidii yake kuwaokoa. Kitabu hiki kinasisitiza safari na visa vya Ami kuanzia hamu yake ya kusaidia Jua kurudisha tabasamu lake, kusaidia wanyama kuishi, kuelewa jukumu la Mwezi na Dunia kuchukua hatua ili kuifanya dunia kuwa mahali pazuri na salama.

Kitabu chetu pepe

Soma hadithi ya kuvutia ya Ami, msichana mdogo ambaye anapenda kuifanya dunia kuwa pahali pazuri

Our Ebook

Read the fascinating story of Ami, a young girl passionate about making the world a better place.

Also available in selected languages

Nulla porttitor accumsan tincidunt. Pellentesque in ipsum id orci porta dapibus. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit Vivamus suscipit tortor eget felis.

Ami series Fraincais

$35

5/5

AMI ƑE KALẼWƆWƆ

$35

5/5

Ami series Kiswahili

$35

5/5

Maoni ya Msururu wa Ami

Maoni ya Msururu wa Ami

Wandile Nkambule South Africa

Kitabu hiki ni juu ya msichana mdogo ambaye anapenda mazingira asili. Wasiwasi wake mkubwa ni kufanya Jua lifurahi. Njia pekee ya kufanya hivyo ilikuwa kuwa mkarimu na kusaidia marafiki zake wakati wana shida. Marafiki zake walikuwa Mti, Maji, Hewa, Wingu na Mlima. Ami alikuwa mkarimu sana na aliwasaidia wote na hivyo kumfanya rafiki yake Jua litabasamu tena. Ninawahimiza wazazi kusoma kitabu hicho na watoto wao na kuwasaidia kufahamu uumbaji mzuri ambao tunayo.

Nutifafa Feyi Ghana

Msururu wa Ami ni kitabu cha watoto ambacho huibua wasiwasi mkubwa juu ya shughuli za wanadamu kutishia uwepo wa mazingira. Masuala mazito ya mazingira yanaelezwa kwa lugha rahisi kwa akili ya mtoto, na kuifanya iwe ya kufurahisha kusoma huku ikiwaita wasomaji wake kuchukua hatua ili kuokoa NYUMBA yetu. Kitabu hiki kinafundisha watazamaji kupigana vita kwa ashiki dhidi ya uchafuzi wa wa mazingira wa aina zote. Pia inaonyesha njia za kufurahisha za kuhifadhi dunia mama. Ni kitabu kizuri; muwafaka kwa watoto miaka 6-16. Hata watu wazima watafurahia.

Stephen Kwadwo Boateng Ghana

Mimi hupenda kusoma vitabu vya watoto hata wakati mimi sio mtoto tena. Daima inavutia jinsi hadithi fupi inakufanya ujifunze kitu kwa maisha yako yote. Kusoma Msururu wa Ami kunanifanya nitambue kuwa sikusoma vitabu vingi kuzungumza juu ya mazingira na kile watoto wanaweza kufanya ili kuifanya dunia kuwa mahali pazuri pa kuishi Kila sura inashughulikia tukio moja la visa vya Ami. Na ni matukio gani! Ninapenda jinsi kitabu hiki pia kinashughulikia shida kubwa na za ulimwengu kwa njia rahisi, kwa hivyo watoto wanaweza kuelewa. Sehemu bora zaidi ni faharasa ndogo inayofuata kila hadithi ili kufafanua neno lolote gumu kwa watoto.

Eman Abdo Misri

    LATEST FROM AMI's BLOG

    Maoni ya Msururu wa Ami

    Wasiliana

    Wasiliana nasi ili kujua zaidi juu ya kuchapisha vitabu katika shirika la Bolingo

    Chagua aina

    Kitabu chetu pepe

    $ 3.99

    Inapatikana katika muundo wa Epub

    Jalada gumu

    $ 9.95

    Uwasilishaji unapatikana ndani ya wiki